BEN POL AMEFUNGUKA HAYA BAADA YA DODOMA KUWA JIJI. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday, 27 April 2018

BEN POL AMEFUNGUKA HAYA BAADA YA DODOMA KUWA JIJI.

Msanii wa R&B Ben Pol amezungumza baada ya Rais John Pombe Magufuli kuipa Manispaa ya Dodoma hadhi ya Jiji ikiwa msanii huyo anatokea katika mkoa huo wa Dodoma, ambapo Ben Pol amepongeza hilo na kuwashauri wa dau wa muziki kwenda kuwekeza ili kukuza vipaji vipya kwenye game ya bongofleva.
Rais magufuli ameutangaza mji wa Dodoma kuwa Jiji wakati alipokuwa akihutubia katika sherehe za Muungano wa Jamuhuri ya Tanganyika na Zanzibar

No comments:

Post a Comment