Asante,Kwasi aishuhudia simba akiwa njee - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 7 January 2018

Asante,Kwasi aishuhudia simba akiwa njee

Beki wa Simba, AsanteKwasi amelazimika kuwanje ya uwanjana kuwatazama wenzake wakiendelea namazoezi baadakuumia mechiya jana Jumamosi. Kwasiameshindwa kufanya mazoezi leo kwenye Uwanjawa Jeshini Nyuki. Kwasialiuumia kwenye kisigino jana kwenye mechi dhidi ya Azamna daktari amemtaka ampumzike. "Nimeumia janakwenye kisigino nanimepata kidondaambacho kimeniwekanje na kushindwakufanyamazoezi, pia daktari ameniambia nipumzike," alisema Kwasi.

No comments:

Post a Comment