MTANGAZAJI maarufu wa televisheni, Zamaradi Mketema, ambaye pia ni mdau mkubwa katika tasnia ya Bongo Movie, ametangaza habari njema usiku kuamkia leo baada ya kujifungua mtoto jana.
Huyo ni mtoto wa tatu kwa Zamaradi lakini wa kwanza kwa mumewe wa sasa aitwaye Shabani.
Ujumbe aliotoa kwenye ukurasa wake wa Instagram ni ufuatao:
Erick Picson Media ni Blog ya kitanzania iliyosheheni Mkusanyiko wa Habari Mbalimbali, sambamba na Matukio yanayojiri kila pande za Dunia. Usisahau Hapa ndio kisima cha Habari za Michezo na Burudani
No comments:
Post a Comment