Mwanamuziki nyota, Diamond Platinumz.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe,amesema kuna baadhi ya wasanii ambao walianza kufanya uhuni ndani ya mitandao akiwemo mwanamuziki nyota, Diamond Platinumz, ambaye tayari amekamatwa na polisi na anahojiwa kutokana na picha alizozungusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe
No comments:
Post a Comment