Wema afunguka kuhusu kutoka kimapenzi na Mohombi - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday 13 January 2018

Wema afunguka kuhusu kutoka kimapenzi na Mohombi

STAA mwenye nyota kali Bongo, Wema Sepetu amefungukia madai ya kubanjuka kimapenzi na mwanamuziki mwenye asili ya , Mohombi Nzasi Moupondo na kusema kuwa ni shemeji yake na si vinginevyo.

Akizungumza  Wema alisema kuwa, watu waache kutabiri vitu bila kujua ukweli wenyewe, kwani alipiga picha na mwanamuziki huyo kama shemeji yake kwa rafiki yake.

“Hivi kwa nini watu ni wepesi wa kuongea mambo? Mohombi ni shemeji yangu, kama watu wanataka kumjua mpenzi wangu watamjua hivi karibuni tu, kwani nimejipanga kumuanika ‘soon’ hivyo waache kuotea,” alisema Wema.

No comments:

Post a Comment