Ngoma na Kamusoko warejea kuokoa Jahazi - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday 13 January 2018

Ngoma na Kamusoko warejea kuokoa Jahazi

MASTAA waYanga kutoka Zimbabwe, Thaban Kamusoko naDonaldNgoma wanaanza matizi rasmi nakikosi hicho leo Jumapili kujiandaa na mechi dhidi ya Mwadui FC, itakayopigwa Jumanne.

Wachezaji hao walikuwa wakifanya mazoezi maalum na sasa wanaanza mazoezi ya jumla na timu tayari kwa kucheza baada ya afya zao kuimarika. Walikaanje ya uwanja kwa karibu miezi minne.

Thaban Kamusoko Akizungumza naDaktari wa Yanga, Edward Bavu alisema kuwa Abdallah Shaibu ‘Ninja’ naAmissi Tambwendio bado hali zao hazijatengamaa.

“Kamusoko naNgoma wamemaliza programu maalum hivyokwa sasa wanarejea rasmi mazoezi ya uwanjani na timu na uamuzi wa kutumika utabaki kwa benchi la ufundi kwamba wacheze au wasicheze. “ Ninja na Tambwe bado wanaendelea kupona,”alisema Bavu ambaye ni mzoefu kwenye tiba za wachezaji.

No comments:

Post a Comment