Irene Paul:kapotezwa na ndoa - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday, 12 January 2018

Irene Paul:kapotezwa na ndoa

MSANII kiwango kunakosoko laBongo Muvi, Irene Paul anadaiwa kupotezwa nandoa nakwamba kwa sasa haonekani kwenyetasnia hiyo.

 Irene anayesifika kuzitendea haki ‘scene’ zake anazopewa hususan kwenyesualazima la ‘ung’eng’e’, tanguameolewa amekuwahasikikitena kwenye filamu kama ilivyokuwa awali.

“Hii nindoa tu itakuwa imempoteza, zamani alikuwa tishio kwenyekila filamu anayotoaiwe ameshirikishwa auamecheza mwenyewelakini tanguameolewa amekuwa kimyaa,” kilibonyeza chanzo hicho.

 Irene kajibu madai hayoambapo alifunguka: “Ndoa sikwamba inamfanya mtuawe kimya, nipo kimya kwasababu nina biashara zangu nyingine.”

No comments:

Post a Comment