Ronaldo amfungukia Neymar - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday, 12 January 2018

Ronaldo amfungukia Neymar

Mshambuliaji wa zamani waBarcelona Ronaldo LuísNazáriode Lima, amesema uhamisho wanyota wasasa wa Brazil NeymarJr kutokaBarcelona kwenda PSG nikamaamepiga hatua moja nyuma.

Ronaldo ameyasemahayo kwenye mahojiano nachaneliya'Youtube' ya mchezaji wazamani wa Brazil Arthur AntunesCoimbra maarufu kamaZico, alipoulizwa juuya hatua alizopiga Neymar baadaya kuondoka Barcelona.

"Kwangumimi uamzi huo nikama kapigahatua kurudinyuma, lakinikila mtu huwaanatafuta changamoto mpya kamailivyokuwa kwangu nilipoondoka Barcelonawakati huo nikajiunga naInterMilanlakini ligi ya Italia ilikuwa naushindani zaidi kuliko ilivyosasa ligi yaUfaransa'', amesema Ronaldo.

Neymar aliondoka Barcelonakwenye majira yakiangazi 2017nakuhamia Paris Saint-Germain ya Ufaransa kwa dau la rekodiya dunia € 222, zaidi ya shilingibilioni 600.

Neymar ameshaifungia PSG jumlayamabao 20 katikamichuano yote msimuhuu ikiwemo 11 katikaligi kuu ya Ufaransa Ligue 1.

Hatuahii yaRonaldo imekujaikiwani siku mbili tu tangu Neymar mwenye miaka 25 aachwe kwenyekikosi cha UEFAmwaka2017, huku nyota wawili Lionel MessinaCristiano Ronaldo wakijumuishwa.

No comments:

Post a Comment