ABDUL NONDO ASIMAMISHWA MASOMO CHUO KIKUU - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Monday 26 March 2018

ABDUL NONDO ASIMAMISHWA MASOMO CHUO KIKUU

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)Profesa William Anangisye, amemsimamisha masomo Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo hadi kesi yake ya kutoa taarifa za uongo mitandaoni na kudanganya kutekwa itakapomalizika.

Nondo alipewa dhamana na mahakama ya Iringa, jana Jumatatu,Machi 2018 baada ya kusota rumande kwa wiki kadhaa.
TAARIFA YA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM

No comments:

Post a Comment