Tazama hapa LIVE sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday, 11 January 2018

Tazama hapa LIVE sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Tazama hapa moja kwa moja kutoka Zanzibar, kufuatilia maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Serikali ya Zanzibar. 

Mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, pia katika sherehe hizo wapo viongozi mbali mbali wa kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli
               

No comments:

Post a Comment