Aishi Manula ukapela sasa basii - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday, 6 January 2018

Aishi Manula ukapela sasa basii

Golikipa waSimba naTaifa Stars Aishi Manula,amefunga ndoa namchumba wake wa siku nyingi Bi.Aisha.

Ndoa hiyo imefungwa leo Jumamosi Januari6,2018Mkamba mkoani Morogoro.

Manula hayupo Zanzibar ambako klabuyake inashiriki kombela Mapinduzi naalikuwa naruhusa maalum kwaajiliya kukamilisha taratibu zakufungandoa.

Leo usikuSimba itachezadhidi ya Azam katika mchezo wa Kundi A michuano yaMapinduzi wakati huo Manula akisherekea ndoa yake.

No comments:

Post a Comment