SANCHI : BONGO MTASUBIRI SANA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday 27 May 2018

SANCHI : BONGO MTASUBIRI SANA.

MWANAMITINDO mwenye umbo matata Bongo, Jane Ramoy ‘Sanchi’ amesema kuwa kwa sasa Wabongo watamsubiri sana kwani hana mpango wa kurejea nchini hivi karibuni.
AkizungumzaSachi ambaye yuko nchini Nigeria kwa kipindi kirefu, alisema kuwa, ameamua kubadilisha hali ya hewa na hana mpango wa kurejea nchini.
“Sasa hivi Bongo wanisamehe tu kwani sina mpango wa kurudi hivi karibuni, nimeamua kubadilisha hali ya hewa kabisa na niwaa-mbie tu, si kwamba kuna mwa-naume kanileta huku, nimekuja kivyang-uvyangu,” alisema.

No comments:

Post a Comment