Wema,Jokate,Wolper washindana kwa hili - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday, 28 November 2017

Wema,Jokate,Wolper washindana kwa hili

Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akiwa katika mapozi tofauti.
…Akiwa wenye pozi tata.
…Akijiweka vyema katika shepu ya kukubalika.

Staa wa Bongo, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ akiwa mchanuo wa kuvutia.
…Jokate akiwa kwenye pozi.

MASTAA wanaofanya vizuri katika filamu za Bongo, Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na Jacqueline Wolper wameamua kushindana kwa kutupia picha mpya kwenye akaunti zao kwenye mtandao wa Instagram huku kila mmoja akimwagiwa sifa za kutosha kutoka kwa mashabiki wao. Wema Sepetu amefikisha wafuasi milioni 3.2, Wolper milioni 2.9 na Jokate Mwegelo ana wafuasi milioni 2.8.

Wafuasi hao walisema kwamba Wema ndiye aliyeongoza akifuatiwa na Jacqueline na Jokate wa tatu.

No comments:

Post a Comment