Denda la Jux na Vanessa liliwapagawisha mashabiki - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday, 28 November 2017

Denda la Jux na Vanessa liliwapagawisha mashabiki

Waliokuwa wapenzi hapo nyuma, Jux na Vanessa, wamewashangaza mashabiki baada kuimba pamoja kwa hisia za kimahaba kwenye Tamasha la Tigo Fiesta hivi karibuni wakiwashangalia na kuwataka warudiane.  Kutokana na kuimba, kucheza na kukumbatiana, walionyesha kwamba penzi lao lilikuwa bado halijavunjika bali linaendelea, na kwamba kuvunjika kwa penzi hilo ni kuwazuga tu mashabiki.

No comments:

Post a Comment