Lady jaydee afunguka kukunwa na aslay - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 15 November 2017

Lady jaydee afunguka kukunwa na aslay

MKONGWE katika muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee amefungukia kukunwa kwake na kazi za msanii mwenzake, Aslay Isihaka anazozifanya kwa sasa.

  • Akipiga stori Lady Jaydee alisema anapohitaji kusikiliza muziki mzuri, husikiliza muziki wa Dogo Aslay na amekuwa akiusikiliza hata kutwa nzima kwa kuwa kazi zake za sasa, zinakata kiu ya burudani anayoitaka.

Lady Jaydee
“Mimi ni mwimbaji, lakini haina maana kwamba sipati burudani kwa wenzangu, mfano huwa natumia saa nyingi, wakati mwingine nashinda kutwa nzima nasikiliza kazi za Aslay, anajua kuimba na kuandika nyimbo nzuri,” alisema Jaydee

No comments:

Post a Comment