Tanzia:Mwanasiasa Maarufu Richard Tambwe afariki dunia.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 7 February 2018

Tanzia:Mwanasiasa Maarufu Richard Tambwe afariki dunia..

TANZIA:Mwanasiasa maarufu na wa siku nyingi Tambwe Hizza amefariki leo alfajiri nyumbani kwake jijini Dar es salaam.Marehemu Tambwe Hizza amefariki akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa pumu na amefariki akiwa ni mmoja wa waratibu wa kampeni za chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) katika jimbo la Kinindoni:Taarifa hizi zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Ubungo@Boniface Jacob

No comments:

Post a Comment