HABARI MBAYA : MAPACHA WALIO UNANGANA WAFARIKI DUNIA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday, 2 June 2018

HABARI MBAYA : MAPACHA WALIO UNANGANA WAFARIKI DUNIA.



Maria na Consolata ni mapacha walioungana wamefariki dunia usiku wa kuamkia Leo katika hospitali ya Iringa Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi.

No comments:

Post a Comment