Yanga yarudi nyuma kisa Mwadui FC - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 17 January 2018

Yanga yarudi nyuma kisa Mwadui FC

Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabuya Yanga wame lazimishwa suluhu na Mwadui FC kwenye mchezo waraundi ya13 uliomalizika jioni hii uwanja waUhuru jijini Daressalaam.

Yanga chini ya kocha Mzambia George Lwandamina kwa mara ya kwanza tangu arudi kutoka kwao,imeshindwa kupata ushindi hivyo kubaki katika nafasi ya tano.

Mwadui FC yenyewe imefikisha alama 13 nakupanda hadi nafasi ya 9.
Hii ni mechiya pili Yanga inashindwa kupata ushindi ambapo mechi ya raundi ya 12Disemba 2017, ilikubali kipigo chamabao 2-0 kutoka kwa Mbao FC ya Mwanza.

Yanga imefikisha alama22 hivyo kushindwa kuifikia Mtibwa Sugar yenye alama 23 katikanafasi yanne baadaya wikiendi iliyopita kushinda mechi yake ya raundiya 13 dhidiya Lipuli FC.

Kesho kutakuwa na michezo miwili ambapo vinara wa ligi Simba SC watakuwa wenyeji waSingida United wakati Azam FCinayoshika nafasiya pili itakuwa ugeneinimjiniRuvuma kucheza na Majimaji FC.

No comments:

Post a Comment