P didy achangia mil 224 Uganda - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 17 January 2018

P didy achangia mil 224 Uganda

Kutoa ni moyonawalasio utajiri. RapperSeanJohn Combsmaarufu kamaPDiddy amechangiakiasi cha dola 100, 000 ambazoni zaidiya shilingimilioni 224za kitanzania.

Msanii huyoametoafedha hizo kwenye kampeni yakusaidia huduma za afya zauzazi nchini Uganda.

Kampeni hiyoambayo inafahamika kamaMama Hopeilianzishwa mwaka 2016 na rapper French Montana.

No comments:

Post a Comment