Nini amkana Nay wa Mitego - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday 18 January 2018

Nini amkana Nay wa Mitego

MSANII chipukizi wa Bongo Fleava, Nini amefunguka kuhusu uhusiano wake na Nay wa Mitego na kueleza kuwa hajawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na rapper huyo.

Kauli ya Nini anakuja baada ya hapo awali kuwepo taarifa kuwasababu ya kutimuliwa MJ Record ni kuwa na mahusiano na Nay.

“Sina mahusiano ya kimapenzi na Nay, halafu hatakama ningekuwa nayo,kiupande wangu Idon’t real think hiyo ni sababu ambayo ingeweza kumfanya yeye afanye kile alichokifanya,” amesema.

“Seriously sidhani kama mahusiano ya kimapenzi yanaweza kuathiri muziki, sina uhakika maybe according to me navyofikiria lakini sidhani kama hiyo it cannbe specific reason,” amesisitiza.

No comments:

Post a Comment