Aliyekuwa mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji amefika leo Mahakama ya mkazi kisutu jijini Dar es salaam kwa ajili ya kusomewa hukumu ya kesi inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya.
Huku katibu mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa akionekana na baadhi ya mashabiki wa yanga kuja kujua kienachoendelea kuhusu Manji.
No comments:
Post a Comment