Beki wa zamani wa Chelsea na Real Madrid amehukumiwa kwenda Jela. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday 6 October 2017

Beki wa zamani wa Chelsea na Real Madrid amehukumiwa kwenda Jela.

Beki wa zamani wa Chelsea na Real Madrid, Ricardo Carvalho amehukumiwa kwenda jela miezi saba.

Carvalho ameonekana alikwepa kodi na kuhukumiwa kwenda jela miezi sana nchini Hispania.

Beki huyo aliyeichezea Chelsea na pia mechi 89 timu yake ya taifa ya Ureno, anaonekana atafanya kila linalowezekana kukata rufaa.

Hispania imekuwa nchi inayoonyesha kutotaka utani katika suala la ulipaji kodi.

NA: ERICK PICSON

No comments:

Post a Comment