Polisi wakiwa eneo la tukio.
WATU wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 12, 2017 wamevamia na kufanya uharibifu katika Ofisi za Wanasheria wa Prime Attorneys zilizopo eneo la Tambaza, jijini Dar es Salaam.
Milango ilivyovunjwa.
Inadaiwa kuwa watu hao wametoweka na kabati la kutunzia nyaraka na fedha. Mawakili hao (Prime Attorneys) kwa sasa wanafanya kazi ya utetezi katika kesi za mfanyabiashara Yusuf Manji.
Miongoni mwa mawakili wanaofanya kazi kwenye ofisi hizo ni wakili wa Manji Hudson Ndusyepo anayemtetea katika kesi zake zinazoendelea mahakamani
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment