Kuelekea kutoka kwa album yake mpya yenye colabo za mastaa wakali wa Rapa, Msanii wa Young Money Nicki Minaj amesema haya maneno kuhusu album yake mpya “The album is so F**king GOOD!”
akimaanisha >Album yangu ni Nzuri Sana.
Hii itakuwa album ya kwanza ya Nicki Minaj toka mwaka 2014 alipotoa, The Pinkprint na Album yake ya Nne kama solo artist,
#erickpicson MEDIA.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment