KUFULI LA NANDY JINSI LILIVO ACHA GUMZO MTANDAONI. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 15 April 2018

KUFULI LA NANDY JINSI LILIVO ACHA GUMZO MTANDAONI.

KEJELI na vijembe vimetawala wikiendi iliyopita baada ya kuvuja kwa video ya wasanii wa Bongo Fleva, Faustine Charles ‘Nandy’ na William Nicholas Limo ‘Billnas’ wakiwa kwenye mahaba mazito huku nguo ya ndani ‘kufuli’ ya mwanadada huyo ikiwa ndiyo gumzo kila kona mitandaoni.

Kufuli hilo la rangi ya pinki liligeuka ishu baada ya baadhi ya watu na wachekeshaji kuwa wanaliigiza kutokana na ukubwa wake.

Wapo baadhi ya mastaa wakubwa Bongo hasa wale wa vichekesho ambao walitupia mitandaoni aina mbali-mbali za nguo hizo, lakini zenyewe zikiwa ni kubwa kupitia kiasi huku wengine wakiacha bila kuweka neno lolote.

Katika sakata hilo, Nandy amekwishajisalimisha Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) na kuomba radhi kufuatia skendo hiyo.

No comments:

Post a Comment