BENPOL ,JUX HAWAELEWANI NA BARAKA DAPRINCE - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday 9 June 2017

BENPOL ,JUX HAWAELEWANI NA BARAKA DAPRINCE

Ni kutokea kwa wakali wa muziki wa kitanzania Ben Pol , Jux na Baraka Daprince kutoelewana . Sababu ni utovu wa nidhamu ulioonyeshwa na Baraka Daprince katika ushirikiano wao au chama chao kama wanamuziki , na kutokana na tabia isiofaa ilioonyeshwa na Baraka Daprince ilipelekea BenPol pamoja na Jux kumtenga Baraka Daprince katika chama au ushirikiano huo walio uanzisha. Lakini isitoshe sio katika ushirikiano wao tu bali hata kufanya kazi pamoja imeonekana Baraka Daprince hayupo tayari , kwani kuna baadhi ya vitu au project zao mpya Baraka Daprince hataki kusambaza na kuzitangaza katika mitandao ya kijamii au vyombo vya habari hata akipewa na BenPol pamoja na Juma Jux . Ni maneno yalio zungumzwa na Mkali wa moyo mashine na si mwingine ni BenPol. Kwa matukio ya picha zaidi nimekusogezea hapahapa

No comments:

Post a Comment