CHIDI BENZI AMEKUTANA NA SHETA BAADA YA KUTOKA KATIKA JANGA LA MADAWA YA KULEVYA NA ANARUDI TENA KATIKA INDUSTRY YA MUSIC - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday 8 June 2017

CHIDI BENZI AMEKUTANA NA SHETA BAADA YA KUTOKA KATIKA JANGA LA MADAWA YA KULEVYA NA ANARUDI TENA KATIKA INDUSTRY YA MUSIC

Mwanamziki Chidi Benzi aliye kuwa ameadhiriwa na madawa ya kulevya karudi tena kwa mara nyingine baada ya kutoa nyimbo yake na msanii toka WCB rayvanny ambayo ilikuwa inajulikana kwa jina la Chuma . Lakini kwa mara nyingine tena hivi karibuni kakutana na Sheta na kumwambia kwa sasa yupo vizuri kurudi katika industry ya music na Sheta yeye kasema katika wasanii wenye swagger za kipekee Chidi Benzi anamkubali na pia alimalizia kwa kuzunguza kuwa kwa sasa kweli wanamuhitaji Chidi Benzi arudi kwenye hii sanaa na kufanya mambo mazuri zaidi ya mara ya kwanza kwani ana kitu cha kipekee ambacho watanzania wengi walitokea kumpenda hasa katika muziki anaofamya Chidi Benzi . Kwa picha zaidi nimekusogezea hapa chini na pia kama shabiki wa muziki toa maoni yako kuhusiana na hili ,je kurududi kwa Chidi Benzi kwa upande wako unaonaje na kipi unakipenda kutoka kwake .

No comments:

Post a Comment