Kupitia katika mtandao mkubwa wa kijamii wa Instagram diamondi platinumz pamoja na Dada yake Esma wameeleza hisia zao kwa mama la mama Zarina Hassan jinsi wanavyo mkubali kama mke wa Diamond platinum na kumtakia maisha marefu hasa katika siku yake ya kuzaliwa leo septemba 23,2017.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment