YANGA IMEZALIWA KWA AJILI YA MATAJI YATUA JIJINI DAR TAYARI KWA MCHEZO WA KESHO - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday, 22 August 2017

YANGA IMEZALIWA KWA AJILI YA MATAJI YATUA JIJINI DAR TAYARI KWA MCHEZO WA KESHO

Yanga tayari ipo nchini kukabiliana na mchezo wa kesho dhidi ya simba katika mchezo wa ngao ya jamii jijini Dar.

Ni mchezo wa muhimu kwa klabu ya yanga kwa kuendeleza rekodi ya kushinda katika ligi mara ya nne hasa katika mchezo huu wa ngao ya jamii.

Wachezaji na mashabiki ni muhimu kuitazama kwa ajili ya kupata ushindi ili kuendeleza heshima kama mabingwa kwani timu ya yanga ipo vizuri.

Ko mashabiki wajitokeze kwaajili ya kushinda ngao ya jamii na wachezaji wote wanajiamini .
Ni baadhi ya maneno ya mashabiki wa timu ya yanga kukabiliana na mchezo wa kesho.

No comments:

Post a Comment