Baada ya kupita miezi minne bila kutoa ngoma yoyote, Nicki Minaj amekuja kwa hasira kwa kuachia video mbili kwa mpigo.
Rapper huyo ameachia video ya wimbo wake ‘Chun-Li’ na ‘Barbie Tingz’. Wimbo wake wa mwisho ulikuwa ni Motorsport ambao aliimba na Migos pamoja na Cardi B.
Mpaka sasa video ya Chun-Li imeshatazamwa zaidi ya mara milioni tano kwenye mtandao wa YouTube, wakati ‘Barbie Tingz’ ikiwa imetazamwa zaidi ya mara milioni tatu. Tazama hapa chini video zote mbili.
Chun-Li
Barbie Tingz
No comments:
Post a Comment