Msanii wa muziki kutoka Rwanda, Marina amabye anasimamiwa na Lebo ya muziki ya The Mane ya nchini humo ameachia video ya wimbo wake mpya wa Love You ambao amemshirikisha Harmonize kutoka WCB.
Video ya mdundo huu imeongozwa na Meddy Saleh. Enjoy!
About Erick Picson
No comments:
Post a Comment