Gigy Money afunguka dau lake akiwa stejini - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Monday 16 October 2017

Gigy Money afunguka dau lake akiwa stejini

Msanii wa Bongo Fleva na Video Queen, Gigy Money amesema kwa sasa kama promota au mtu yeyote anayehitaji kumuita kutumbuiza kwenye tamasha/sherehe yake basi ni lazima uwe na kiasi cha milioni mbili za kitanzania.

Mkali huyo anayetamba kwa sasa na wimbo wake wa ‘Papa’ amesema wimbo huo ni ‘Hit Song’ na ni moja ya wimbo mkali kwa sasa kuliko nyimbo nyingine zilizotoka kwa muda huu.

“Na-perform stejini kwa milioni mbili, Papa is a hit song, bila milioni 2 siwezi kutoa Papa stejini, is a hit song.“amesema Gigy Money kwenye mahojiano yake.

No comments:

Post a Comment