TANZIA : AGNESS MASOGANGE AMEFARIKI DUNIA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday, 20 April 2018

TANZIA : AGNESS MASOGANGE AMEFARIKI DUNIA.

Video Queen Maarufu Bongo Agness Gerald maarufu kama masogange amefariki dunia Leo katika hospitali ya Mama Ngoma Mwenge kwa tatizo la presha.

Akithibitisha taarifa ya kifo hicho muigizaji mkongwe Steve Nyerere amesema kwamba  Agnes amefariki muda mfupi huu akiwa hospitali ya mama Ngoma Mwenge, na hivi sasa wanapeleka mwili hospitali ya Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.
Agnes Masogange alikuwa maarufu baada ya kuonekana kwenye video kadhaa za bongo ikiwemo Masogange ya Belle 9

No comments:

Post a Comment