Siku ya Ijumaa April 20,2018 Tanzania ilipokea taarifa za kifo cha video vixen maarufu nchini Marehemu Agnes Gerald Waya “Masogange” ambapo kila mtu alipokea taarifa hizo kwa style yake na wengine walizimia na vilio vilitanda kila sehemu kutokana na wengi kuwa karibu na Marehemu Agnes Masogange.
Muigizaji Irene Uwoya ni miongoni mwa watu waliokuwa karibu na Marehemu Agnes Masogange na kusikitishwa na taarifa hizo kutokana na ukaribu aliokua nao Irene na Marehemu Agnes na ameamua kumuenzi rafiki yake kipenzi kwa kuchora tattoo katika mkono wake na kuandika “R.I.P Agnes”
No comments:
Post a Comment