Yanga yaitimulia vumbi Simba Kombe la Mapinduzi - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday, 2 January 2018

Yanga yaitimulia vumbi Simba Kombe la Mapinduzi

Kikosi cha Yanga kimeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuizamisha Mlandege mabao 2-1 kwenye mchezo uliopigwa Uwanja wa Amaan jana Jumanne usiku.

Mabao ya Yanga katika mechi iliyochezwa kwenye mashindano hayo ya Kombe la Mapinduzi alikuwa ni Juma Mahadhi aliyefunga mabao yote wawili.

Awali, mechi ya Simba na Mwenge iliisha kwa sare ya bao 1-1 jambo linawapa presha Wekundu wa Msimbazi kuhakikisha wanafanya vyema mechi zinazofuata.

No comments:

Post a Comment