Kutokana na post ya Nuh Mziwanda ameandika ujumbe ambao umetafsiriwa na wengi kuwa unawalenga wale wote ambao wanahisi kuwa hafanyi vitu ambavyo havimletei maendeleo na kumuona kama mjinga na kusema kuwa anafanya vyote kwaajili ya mtoto wake Anya.
Nuh Mziwanda ameandika……..>>>“Mjini Wengi Wajanja Wao ‘Sisi Wajinga Daily hatuna Mipango ‘ila kila Mafanikio yapo Moyoni Mwa Mtu ‘Acha tu endelee kuchorana tu. hii hapa ya Mwanangu Anya Kwa Nguvu za Mungu imefikia Hapo #KivuleMoja .Endeleeni Kumzungumzia Nuh halafu Mie nafanya Wonders (Harakati Za kuepuka kulipa kodi 😂)”
No comments:
Post a Comment