MFANYABIASHARA Yusuf Manji, leo Jumatatu, Septemba 25, 2017 amepanda kizimbani katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, kujitetea katika shtaka linalomkabili la matumizi ya dawa za kulevya ambapo akiongozwa na Wakili wake Hajra Mungula.
Manji ameionyesha Mahakama udhibitisho uliotumwa na daktari wake kutoka Marekani kwa njia ya baruapepe wa aina ya dawa alizokuwa akitumia.
No comments:
Post a Comment