Zari na Diamond wabwagana... - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 14 February 2018

Zari na Diamond wabwagana...

Wakati wapendanao Jumatano hii wakifurahia sikukuu yao ya Valentine’s Day kwa kupeana zawadi lukuki zenye ishara ya upendo, kwa upande wa Zari The Bosslady na Diamond siku hii imegeuka shubiri kwao.

Kupitia mtandao wa Instagram, Zari amethibirisha kuwa ameamua kumwagana na bosi huyo wa WCB ambaye tayari wamefanikiwa kupata watoto wawili kwenye mahusiano yao.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo aliyoiandika, Zari ameonyesha kuchoshwa na habari za kusalitiwa na mzazi mwenzake huyo kila kukicha.

Kupitia mtandao huo, Zari ameandika:

No comments:

Post a Comment