Rasmi..Rais Zuma ajiuzulu... - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday 14 February 2018

Rasmi..Rais Zuma ajiuzulu...

ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Urais kwa manufaa ya Chama chake cha ANC na Wananchi wa Afrika Kusini.

Zuma ametangaza hadharani kujiuzulu kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika matangazo yaliyokuwa yanarushwa LIVE. Uamuzi wa Zuma umekuja kutokana na msukumo uliokuwa unatolewa na Chama chake pamoja Bunge la nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment