Ray C ashindwa kuvumilia kinachoendelea kuhusu Diamond ..afunguka Mazito.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday, 9 February 2018

Ray C ashindwa kuvumilia kinachoendelea kuhusu Diamond ..afunguka Mazito..

Msanii mkongwe mwanadada Rehema Chalamila a.k.a Ray C ameshindwa kuvumilia sakata la
Diamond Platinumz kuwa na ugomvi kati yake na media kama Clouds Media na kupelekea
kulumbana kwa vitu vya ajabu ajabu vya kibinafsi tu yaani inaonyesha ubinafsi ndio umetawala
kuna watu wanataka kujifanya ni miungu watu yaani wanataka wasujudiwe ili wakufanyie
jambo lako. Ni hatari sana Pole sana Diamond Platinumz hawatoweza endelea
kupambana. Thamani yako inajulikana sana tu!! Maneno ya Ray C.

No comments:

Post a Comment