EMANUEL MARTIN NDANI YA TAIFA STARS -MAYANGA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 30 August 2017

EMANUEL MARTIN NDANI YA TAIFA STARS -MAYANGA.

Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Mayanga amemwongeza Kiugo wa Young Africans, Emmanuel Martin kwenye kikosi chake kinachojindaa kucheza na Botswana Jumamosi Septemba 2, mwaka huu.
Mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam chini ya utaratibu wa kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).

No comments:

Post a Comment