Mrembo wolper aingizwa mjini kwa Mara nyingine tena... - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday, 24 February 2018

Mrembo wolper aingizwa mjini kwa Mara nyingine tena...

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper ametoa kilio chake kwa makampuni ya simu za mikononi nchini.

Wolper ametoa kilio hicho kwa kitendo kinachofanywa na baadhi ya watu kusajili laini kwa kutumia jina lake( na majina mengine ambayo sio yao) na kufanya utapeli kwa watu.

Mrembo huyo amebaisha hayo kupitia matandao wa kijamii wa Instagram ambao kunaonyesha mtu anayetumia jina lake alipokea muamala wa pesa kitu ambacho yeye hajakipokea.

No comments:

Post a Comment