Diva: Mwaka huu lazima niwe na ujauzito.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday, 13 February 2018

Diva: Mwaka huu lazima niwe na ujauzito..

Mwanadada Mrembo na mtangazaji kutokea cloudsfm Divatheebawse amefunguka kupitia mtandao wa tweeter kwa kupost tweet isemayo "mwaka huu lazima niwe na ujauzito"

Na kipindi kifupi kilichopita Diva alitofautiana na aliyekuwa mpenzi wake Heri muzik na ikasadikika wameachana.

Sasa Diva anatangaza kuwa mwaka huu hauishi bila kuwa na ujauzito na ukihesabu mpaka sasa imebaki miezi 9 mwaka huu kuisha wataalamu wa mambo wametafsiri kuwa basi hata sasa Diva the bawse ni mjamzito.

TOA MAONI YAKO...

No comments:

Post a Comment