Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Msiba wa aliye kuwa rubani wa ndege za Serikali - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday, 3 February 2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Msiba wa aliye kuwa rubani wa ndege za Serikali

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ahudhuria msiba wa aliyekuwa rubani wa ndege za serikali, marehemu Dominic Bomani  nyumbani kwa marehemu, Kinyerezi jijini Dar es salaam Februari 3, 2018.Bomani alifariki dunia katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea Zanzibar Feb. 1

No comments:

Post a Comment