October 11,2017 kupitia instagram account ya Diamond Platnumz aligusia kuhusu ujio wa album yake ya “A boy from Tandale” na hakuweka wazi tarehe rasmi ambapo itakuwa ikiuzwa mtaani.
Leo February 15,2018 kupitia ukurasa wa instagram wa Diamond Platnumz ameandika kuwa zimebaki siku 29 kabla ya Album ya “A boy from Tandale” itangazwe rasmi ambapo itakuwa March 16,2018.
Diamond Platnumz ameandika “siku 29 kabla ya a boy from Tandale kutangazwa najua wote hamko tayari kuona nilichofanya ndani ya album hiyo”
Kwa wale mashabiki wa Diamond Platnumz hii ni taarifa nzuri kutoka kwake kwamba Album ya “A boy from Tandale” itakuwa rasmi mtaani March 16,2018.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment