Msemaji wa Tasnia ya filamu Tanzania Bw. Masoud amesema kitendo cha msanii wema sepetu kukaa nusu utupu na kusaambaa kwa video ile ni utovu wa nidhamu na wao kama kamati wanakaa kikao ambacho kitajadili hilo swala na maamuzi yatatolea kuhusiana na utovu huo wa nidhamu na pia ni kinyume cha maadili ya kitanzania.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment