Vanessa Mdee aikubali couple ya P Didy na Casie.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday, 15 February 2018

Vanessa Mdee aikubali couple ya P Didy na Casie..

Staa wa muziki Cassie kutokea Marekani inafahamika kuwa yupo katika uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake P Diddy ambao wamekuwa katika Uhusiano kwa kipindi kirefu hadi sasa.

kupitia instagram account ya Cassie alipost video akiwa na P Diddy na kuandika caption nzuri kwaajili ya mpenzi wake P Diddy siku ya valentines February 14,2018 na kusema “Nawatakia siku ya wapendanao kutoka kwangu na mpenzi wangu”

Katika comments msanii wa Bongo Fleva ameonekana kuikubali couple hiyo kwa ku-comment.

“Tafadhali tafuta mwanaume ambaye atakuangalia kama P Diddy anavyomuangalia mwanamke wake Cassie kwenye video clip hii na hii ni baada ya miaka yote na bado”

No comments:

Post a Comment