Katibu Chadema amehamia CCM - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday 15 November 2017

Katibu Chadema amehamia CCM

Iringa. Aliyekuwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Frenk Mwaisumbe ametangaza kuhama chama chake na kujiunga na CCM.

Mwaisumbe ambaye alishika wadhifa huo kwa kipindi cha miaka sita hadi alipoachia wadhifa huo Januari mwaka huu.

Akizungumza na wanahabari  leo Jumatano Mwaisumbe ametaja sababu za kujiunga na CCM kuwa ni kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais John Magufuli za kufufua uchumi wa nchi.

No comments:

Post a Comment