Zitto aachiwa,Polisi wamemkamata tena - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday 31 October 2017

Zitto aachiwa,Polisi wamemkamata tena

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Kabwe, ameruhusiwa kwa kudhaminiwa na watu wawili hapa Kituo cha Polisi Chang'ombe, Temeke, Dar es salaam.

Polisi wamemkamata tena baada ya kudhaminiwa kwa amri ya DCI, na muda huu anapelekwa kuhojiwa katika Kituo cha Polisi Kamata.

Ado Shaibu

Katibu - Kamati ya Itikadi, Uenezi na Mawasiliano ya Umma
ACT Wazalendo
Oktoba 31, 2017

No comments:

Post a Comment