Idadi ya watu waliokufa baada ya Toyota Hiace kuzama Ziwa Victoria imeongezeka na kufikia 12.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amezungumza Jumatatu leo amesema katika ajali hiyo watu watatu wameokolewa wakiwa hai.
Msangi amesema walionusurika wameokolewa na wananchi ambao ni wataalamu wa kuogelea.
NA:ERICK PICSON.
No comments:
Post a Comment